Matthew 9:27

Yesu Awaponya Vipofu

27 aYesu alipokuwa akiondoka mahali pale, vipofu wawili wakamfuata wakipiga kelele kwa nguvu na kusema, “Mwana wa Daudi, tuhurumie!”

Copyright information for SwhNEN